Mzee wa tafakari

Tuesday, July 11, 2006

Wazee wa blog! Naingia katika uwanja wenu ili tubadilishane mawazo.

naamini tutajadili mambo muhimu ambayo ni yanahusu mustakbali wa taifa letu.

Julius

1 Comments:

At 3:04 AM, Blogger mloyi said...

Karibu Ingia
Karibu ndani
Karibu kiti
Karibu ukae.

Umeshaingia sasa ni michapo yako tuu! Blogu zisonge mbele, tukose muda wa kunywa maji ya kwa 'Tikila. Tujuwane na tupendane huku tunaelimishana.

 

Post a Comment

<< Home